Mwanadiplomasia wa zamani wa Ubelgiji atafikishwa mahakamani hivi karibuni mbele ya mahakama ya jinai ya Brussels kwa ...
Mahakama ya Umoja wa Mataifa ya Haki, ICJ, imeanza kusikiliza kesi ya mauaji ya halaiki dhidi ya Myanmar kuhusu ukandamizaji wa watu wa kabila la Rohingya. Gambia, nchi ya Afrika Magharibi ilifungua ...
Vita vya Gaza vimeibua mjadala wa kimataifa kuhusu iwapo Israel inafanya mauaji ya halaiki, ambayo inachukuliwa na wengi kuwa uhalifu mkubwa zaidi chini ya sheria za kimataifa. Kufikia katikati ya ...
Katika kesi ya kwanza, Mfaransa huyu mwenye asili ya Rwanda, dereva wa zamani huko Kibuye, magharibi mwa nchi, alipatikana na hatia kwa makosa yote mawili na kuhukumiwa kifungo cha miaka 14 jela.
Mamake marehemu Sharon Otieno akifarijiwa (kati) na jamaa zake baada ya kupokea habari mwanawe ameuliwa. Mwanamke, Mwanamke ni kiumbe wa ajabu aliyeumbwa na Mwenyezi Mungu bila ya makosa na tashwishi ...
Mahakama ya Umoja wa Mataifa yaanza kusikiliza kesi ya mauaji ya kimbari dhidi ya Myanmar. Myanmar inakabiliwa na tuhuma za mauaji ya halaiki dhidi ya jamii ndogo ya Warohingya, katika Mahakama ya ...
Huenda kesi ya mauaji ya Shakahola inayomkabili mhubiri mwenye utata Paul Mackenzie pamoja na washukiwa wengine ikachukua mkondo mpya, baada ya mmoja wa washukiwa kuonyesha nia ya kukiri na kutoa ...
Mnamo mwezi Julai 2019, Shirika la Huma Rights watch lilinakili kesi 21 za mauaji yanayotekelezwa na polisi dhidi ya vijana na wanaume katika mitaaa ya Mathare na Dandora mjini Nairobi, bila sababu ...
(Nairobi) – Polisi nchini Tanzania wanaolinda Mgodi wa Dhahabu wa North Mara wamehusishwa na mauaji ya angalau watu sita na kujeruhi wengine kadhaa wakati wa migogoro na wananchi kuanzia mwezi ...