Shirin Sharmin Chaudhury ambaye pia alihudumu kama waziri chini ya utawala wa waziri mkuu aliyeondolewa kwa nguvu madarakani ...
Jeshi la anga la Ukraine linasema liligundua makombora 184 na ndege zisizo na rubani, na kusababisha uharibifu wa miundombinu ...
Rais wa Marekani Donald Trump anasema Mwanasheria Mkuu Pam Bondi anaondoka kwenye wadhifa wake. Inasemekana haridhishwi na ...
Takriban Wapalestina milioni 1.5 wamekimbilia katika mji huo unaopakana na Misri katika hali mbaya ya kibinadamu.
‎ ‎Wazazi na walezi mkoani Shinyanga Region wameaswa kuacha tabia ya kuwahusisha vijana wasiokuwa na ulemavu na kesi za ...
MAHAKAMA ya Uhujumu Uchumi imetoa uamuzi wa awali katika shauri linalowakabili watu tisa waliokuwa wakituhumiwa kwa makosa mbalimbali ikiwemo kula njama za kufanya ugaidi, kumiliki, vilipuzi na ...
MIKOA ya Kagera, Singida na Dodoma imeibuka vinara wa matukio ya mauaji nchini kwa mwaka 2025, kwa mujibu wa takwimu mpya za ...
Israel imepitisha sheria mpya ya adhabu ya kifo kwa Wapalestina wanaohusika na mashambulizi ya mauaji, hatua iliyozua mjadala ...
Aliyekuwa mwanadiplomasia wa Ubelgiji Etienne Davignon, aliyefunguliwa mashtaka akihusishwa na kifo cha mpigania uhuru na mwanzilishi wa taifa la DRC Patrice Lumumba mwaka 1961, amekata rufaa ...
Huu ni uamuzi wa kihistiria wa Mahakama ya Utawala ya Paris siku ya Ijumaa, Machi 27. Zaidi ya miaka 80 baada ya mauaji ya Thiaroye, Mahakama ya Ufaransa imeihukumu Ufaransa  kwa kuficha mazingira ...
Huwezi kuamini baba mzazi anaweza kufanya haya, lakini ushahidi uliotolewa umethibitisha hilo ni kuwa Joseph Mhulula, aliamua kumuua mwanawe mwenye umri wa miaka minne, kukatakata mwili wake vipande ...
Shirikisho la Soka la Senegal (FSF) limethibitisha kupokea uamuzi uliotolewa na Kamati ya Rufaa ya CAF kuhusu kupokwa ubingwa wa Kombe la Mataifa la Afrika 2025 FSF imepinga rasmi uamuzi huo ambao ...