Jeshi la anga la Ukraine linasema liligundua makombora 184 na ndege zisizo na rubani, na kusababisha uharibifu wa miundombinu ...
Rais wa Marekani Donald Trump anasema Mwanasheria Mkuu Pam Bondi anaondoka kwenye wadhifa wake. Inasemekana haridhishwi na ...
Takriban Wapalestina milioni 1.5 wamekimbilia katika mji huo unaopakana na Misri katika hali mbaya ya kibinadamu.
‎ ‎Wazazi na walezi mkoani Shinyanga Region wameaswa kuacha tabia ya kuwahusisha vijana wasiokuwa na ulemavu na kesi za ...
MIKOA ya Kagera, Singida na Dodoma imeibuka vinara wa matukio ya mauaji nchini kwa mwaka 2025, kwa mujibu wa takwimu mpya za ...
Huu ni uamuzi wa kihistiria wa Mahakama ya Utawala ya Paris siku ya Ijumaa, Machi 27. Zaidi ya miaka 80 baada ya mauaji ya Thiaroye, Mahakama ya Ufaransa imeihukumu Ufaransa  kwa kuficha mazingira ...
Mhubiri wa Kenya, Paul Mackenzie, anayehusishwa na vifo vya zaidi ya watu 400 baada ya kudaiwa kuwahimiza wafuasi wake kufunga hadi kufa, ameshtakiwa tena na kuongezewa mashtaka mapya yanayohusiana na ...
Ibada ya kumbukumbu imefanyika mjini Bucha kuwakumbuka mamia ya watu wa Ukraine waliouawa miaka minne iliyopita na vikosi vya Urusi. Mji huo uko karibu na Kyiv, mji mkuu wa Ukraine. Eneo hilo ...
Mahakama imeelezwa kuwa uchambuzi wa data za simu umebaini kile wachunguzi wanachokitaja kama mtandao wa mawasiliano uliopangwa kati ya mhubiri mwenye utata Paul Mackenzie na kundi lake la usalama, ...
Leo ni siku ya pili ya kikao cha majaji wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu, (ICC) huko The Hague Uholanzi cha kuthibitisha iwapo kuna ushahidi wa kutosha wa kumfikisha mahakama aliyekuwa Rais wa ...
Katika kesi ya kwanza, Mfaransa huyu mwenye asili ya Rwanda, dereva wa zamani huko Kibuye, magharibi mwa nchi, alipatikana na hatia kwa makosa yote mawili na kuhukumiwa kifungo cha miaka 14 jela.
Ubelgiji. Familia ya shujaa wa uhuru wa Kongo hayati Patrice Lumumba, imesema imeanzisha upya ufuatiliaji kuhusu ukweli wa kifo cha mwanamapinduzi huyo ambaye alikuwa kipenzi cha Wakongo ili haki ...